Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

AUSTRALIAN OPEN: NADAL ATOLEWA NA BERDYCH



Tomas Berdych amemgaragaza vibaya sana bigwa wa zamani Rafa Nadal na kumtupa nje ya mashindano makali sana duniani ya Australian Open  yanayoendelea huko Melbourne...Berdych kutoka Czech ni namba 7 duniani na alimchapa Nadal 6-2 6-0 7-6 (7-5) bila ubishi...Bofya hapa upate habari zaidi.

Yorum Gönder

0 Yorumlar